Nenda kwa yaliyomo

Kevin Kurányi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kevin Kurányi alizaliwa 2 Machi 1982) ni mchezaji wa zamani wa kulipwa wa mpira wa miguu aliyecheza kama mshambuliaji (striker). Alizaliwa Brazil lakini aliichezea timu ya taifa ya Ujerumani, akifunga mabao 19 katika mechi 52 kati ya 2003 na 2008.

Kurányi alishiriki katika mashindano mawili ya UEFA European Championship na moja ya FIFA Confederations Cup. Kwenye klabu, alicheza kwa VfB Stuttgart, Schalke, na TSG Hoffenheim Ujerumani, pamoja na Dynamo Moscow Urusi.[1]

  1. "Kevin Kurányi". BBC Sport. 25 Mei 2004. Iliwekwa mnamo 9 Juni 2008.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kevin Kurányi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.