Nenda kwa yaliyomo

Ketura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Familia ya Abrahamu ilivyochorwa katika Haggadah iliyochapishwa Venezia mwaka 1630ː kulia Ketura na wanae sita, kushoto Hagar na Ishmaeli, katikati Sara na Isaka.

Ketura (kwa Kiebrania: קְטוּרָה, Qəṭūrā, yaani labda Uvumba[1]) alikuwa mke au suria mwingine ya Abrahamu aliyemzalia watoto sita wa kiume: Zimrani, Jokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua kadiri ya Mwa 25:1-4 na 1 Nya 1:32 [2]. Habari zake zinasimuliwa kidogo tu kabla ya zile za kifo cha Abrahamu.

  1. Schloen, J. David. "Caravans, Kenites, and Casus Belli: Enmity and Alliance in the Song of Deborah." The Catholic Biblical Quarterly, vol. 55, no. 1, 1993, pp. 18–38. JSTOR, www.jstor.org/stable/43721140.
  2. Orr, James, mhr. (1915). "Keturah". International Standard Bible Encyclopedia. Chicago: Howard-Severance Co. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Septemba 2018. Iliwekwa mnamo 21 Septemba 2018.{{cite encyclopedia}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ketura kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.