Nenda kwa yaliyomo

Kenza Allaoui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kenza Allaoui (aliyezaliwa tarehe 2 Novemba 1999) ni mchezaji wa soka anayekipiga kama kiungo wa kati kwa klabu ya Division 2 Féminine, VGA Saint-Maur. Alizaliwa nchini Ufaransa, lakini anaiwakilisha timu ya taifa ya wanawake ya Morocco. Allaoui alizaliwa Vitry-sur-Seine. Amechezea klabu za Orléans, Troyes AC na Saint-Maur nchini Ufaransa. Allaoui alicheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa kwa timu ya taifa ya Morocco tarehe 30 Novemba 2020.[1][2]

  1. "Kenza Allaoui". Footofeminin.fr (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 19 Mei 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Duret, Sébastien (3 Desemba 2020). "Amicaux - Double succès du BRESIL et du GHANA, les USA battent les PAYS-BAS, la ZAMBIE victorieuse au CHILI". Footofeminin.fr (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 19 Mei 2021.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kenza Allaoui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.