Nenda kwa yaliyomo

Safari 431 ya Kenya Airways

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kenya Airways Flight 431)
Kenya Airways flight 431


Kenya Airways Flight 431 ilikuwa safari ya ndege ya aina ya Airbus A310-300 ambayo ilikuwa imepangwa kimataifa katikati ya Abidjan-Lagos na Nairobi. Ndege hii ilianguka kwenye bahari karibu na pwani ya Ivory Coast, tarehe 30 Januari 2000, saa 21:09:24 GMT , muda mfupi baada ya kutoka kwa uwanja wa Kimataifa wa Felix Houphouët-Boigny.[1][2]Ilikuwa na jumla ya watu 179 huku 169 walikuwa ni abiria.[1][2][2][3][4] Hii ilikuwa ni ajali ya kwanza iliyosababisha vifo iliyokumba Kenya Airways.

Iliyopewa jina Harambee Star, ndege iliyohusika katika ajali ilikuwa aina ya Airbus A310-304, mkia nambari ya usajili 5Y-BEN, ilikuwa imenunuliwa ikiwa mpya na kampuni ya Kenya Airways mnamo 1986.[5][6][7]

Virejeleo

[hariri | hariri chanzo]
  1. 1 2 "REPORT Accident which occurred on 30 January 2000 in the sea near Abidjan Airport to the Airbus 310-304 registered 5Y-BEN operated by Kenya Airways" (PDF). Bureau d'Enquêtes et d'Analyses pour la Sécurité de l'Aviation Civile. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2013-10-29. Iliwekwa mnamo 2011-5-20. {{cite web}}: Check date values in: |accessdate= (help)
  2. 1 2 3 "Kenyan plane crashes into sea". BBC News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-03. Iliwekwa mnamo 2012-08-27.
  3. "Rescuers seek more survivors of Kenya Airways crash". CNN. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2005-05-20. Iliwekwa mnamo 2011-5-20. {{cite news}}: Check date values in: |accessdate= (help); Text "2011-1-31" ignored (help)
  4. "Over 100 feared dead after Kenyan jet crash". The Guardian. 2000-1-31. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-03. Iliwekwa mnamo 2012-08-27. {{cite news}}: Check date values in: |date= (help)
  5. "WebCite query result". webcitation.org. 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-03. Iliwekwa mnamo 27 Agosti 2012. {{cite web}}: Cite uses generic title (help)
  6. "WebCite query result". webcitation.org. 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-30. Iliwekwa mnamo 27 Agosti 2012. {{cite web}}: Cite uses generic title (help)
  7. "WebCite query result". webcitation.org. 2012 [last. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-30. Iliwekwa mnamo 27 Agosti 2012. {{cite web}}: Check date values in: |year= (help); Cite uses generic title (help)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]