Nenda kwa yaliyomo

Kent Curtis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marvin Kent Curtis (Alizaliwa 10 Oktoba , 1890 -Alifariki 24 Desemba , 1957) alikuwa rubani wa ndege wa Marekani, mwandishi wa riwaya, mchoraji, mpanda yacht, na mwalimu. Curtis alihudumu katika Vita vya Kwanza vya Dunia kama rubani katika Jeshi la Anga la Kifalme, alipigwa risasi, akaripotiwa kufa, na kushikiliwa kama mfungwa wa vita hadi mwisho wa vita[1] .

  1. Troyer, Loris. Portage Pathways. Kent, Ohio: The Kent State University Press. 1998.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kent Curtis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.