Kenneth Dike
Mandhari
| Kenneth Onwuka Dike | |
|---|---|
| | |
| Alizaliwa | 17 December 1917 |
| Alikufa | 26 October 1983[ |
| Nchi | Nigeria |
Kenneth Onwuka Dike (17 Desemba 1917 – 26 Oktoba 1983 [1]) alikuwa mtaalamu wa elimu wa Nigeria, mwanahistoria, na raia wa kwanza wa Nigeria kuwa Makamu Mkuu wa Chuo cha Ibadan.[2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Kenneth O. Dike Dies In a Nigerian Hospital". The New York Times (kwa American English). 1983-11-13. ISSN 0362-4331. Iliwekwa mnamo 2017-10-20.
- ↑ J. Gus Liebenow (1986). African Politics: Crises and Challenges. Juz. la 388 of A Midland book. Indiana University Press. uk. 191. ISBN 978-0-253-3027-55.
- ↑ Richard A. Joseph (2014). Democracy and Prebendal Politics in Nigeria. Juz. la 56. Cambridge University Press. uk. 52. ISBN 978-1-107-6335-37.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kenneth Dike kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |