Nenda kwa yaliyomo

Kemar Bailey-Cole

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kemar Bailey-Cole (alizaliwa 10 Januari 1992) ni mwanariadha mstaafu kutoka Jamaika, ambaye alishiriki zaidi katika mbio za 100m. Yeye ndiye bingwa wa Michezo ya Jumuiya ya Madola ya mwaka 2014 mita 100.[1]

  1. "Kemar Bailey-Cole".
    Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Kemar Bailey-Cole kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.