Nenda kwa yaliyomo

Kelly Fraser

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kelly Fraser (amezaliwa 8 Agosti, 1993 – amefariki 24 Desemba, 2019) alikuwa mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na msanii kutoka Kanada, maarufu kwa kuleta sauti za jadi za Kit inuit katika muziki wa kisasa.[1][2]

  1. Sinclair, Niigaan (2019-12-27). "Powerful singer brought Inuit culture to world". Winnipeg Free Press. Iliwekwa mnamo 2019-12-30.
  2. Murray, Nick (Machi 14, 2019). "'Slap in the face': Nunavut government cuts funding to Inuit college". cbc.ca. CBC News. Iliwekwa mnamo 2020-08-24.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kelly Fraser kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.