Kelechi Iheanacho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kelechi Iheanacho

Kelechi Ahadi Iheanacho (alizaliwa 3 Oktoba 1996) ni mchezaji wa soka wa Nigeria ambaye anacheza katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza iitwayo Leicester na timu ya taifa ya Nigeria.

Amecheza mechi akiwa na klabu ya Manchester City, pamoja na kikosi cha Nigeria ambacho kilishinda Kombe la Dunia la FIFA chini ya miaka 17 na 2013 na timu ya taifa ya Nigeria chini ya miaka 20 katika Kombe la Dunia la FIFA chini ya miaka 20 mwaka 2015.

Iheanacho aliitwa hadi kikosi kikuu cha Manchester City kwa msimu wa 2015-16.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kelechi Iheanacho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.