Nenda kwa yaliyomo

Kekefia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kekefia ni chakula cha pembeni kutoka sehemu ya Kusini mwa Nigeria, na ni maarufu miongoni mwa watu wa jimbo la Bayelsa.

Ndizi za kupika (plantain) ndizo kiungo kikuu katika utayarishaji wa chakula hiki, vingine ni pamoja na pilipili, kitunguu, dagaa wa kukaushwa, majani ya harufu (scent leaf), mafuta ya mawese na chumvi.[1]

Kekefia hutolewa pamoja na mchuzi wenye nyama au samaki.[2]

  1. Guardian Nigeria (2020-08-16). "Exploring The Cultural Taste Buds Of Nigeria". The Guardian Nigeria News - Nigeria and World News (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2026-04-07.
  2. "Tasting Bayelsa: How to make delicious kekefia". Pulse Nigeria (kwa Kiingereza). 2022-04-28. Iliwekwa mnamo 2026-04-07.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kekefia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.