Nenda kwa yaliyomo

Keivonn Woodard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Woodard mwaka 2022

Keivonn Montreal Woodard (amezaliwa 9 Februari 2013) ni muigizaji wa Marekani. Anajulikana zaidi kwa nafasi yake kama Sam katika mfululizo wa tamthilia ya baada ya apokalipsi ya HBO uitwao The Last of Us (2023), ambapo alipata uteuzi wa tuzo ya Primetime Emmy kwa muigizaji mgeni bora katika Tamthilia.[1][2]

  1. Loock, Megan (Machi 29, 2023). "The Last of Us star Keivonn Woodard of Bowie excels on the ice and on camera". Capital Gazette. Iliwekwa mnamo Julai 14, 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Romano, Nick (Februari 10, 2023). "The Last of Us stars behind Henry and Sam wanted to do justice to 'heartbreaking' storyline". Entertainment Weekly. Iliwekwa mnamo Julai 14, 2023.{{cite magazine}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Keivonn Woodard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.