Keiko Abe
Mandhari
Keiko Abe (Kijapani: 安倍 圭子, Abe Keiko; alizaliwa Aprili 18, 1937) ni mtunzi wa muziki na mpiga marimba kutoka Japani. Amekuwa mhusika muhimu sana katika maendeleo ya marimba, hasa katika kupanua mbinu za upigaji na hazina ya utunzi wa ala hiyo. Kupitia ushirikiano wake na kampuni ya Yamaha, alichangia kuendelezwa kwa marimba ya kisasa ya tamasha yenye oktava tano.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Keiko Abe Discography". Discogs. Iliwekwa mnamo 28 Septemba 2023.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Kite, Rebecca (2007). Keiko Abe ~ A Virtuosic Life: Her Musical Career and the Evolution of the Concert Marimba. USA: GP Percussion. ISBN 978-0-9714048-2-3.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Keiko Abe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |