Nenda kwa yaliyomo

Keianna Albury

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Keianna Albury (alizaliwa 28 Julai 1996) ni mwanariadha wa mbio fupi kutoka Eleuthera, Bahama.[1] Alisoma katika Chuo cha St. Augustine’s huko Nassau, Bahamas, kabla ya kujiunga na Chuo Kikuu cha Pennsylvania State University kushindana katika riadha.[2][3]

  1. "Albury At the 2015 CARIFTA Games, she finished with a silver in the 100m, bronze in the 200m and was a member of the silver medal winning 4x100m team". The Tribune 242. Iliwekwa mnamo 21 Machi 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Penn State Bio". gopsusports.com. Iliwekwa mnamo 20 Februari 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Penn State Bio". gopsusports.com. Iliwekwa mnamo 20 Februari 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Keianna Albury kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.