Nenda kwa yaliyomo

Kehinde Fadipe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kehinde Fadipe
Amezaliwa 17/01/1983
Kazi yake Mwigizaji
Watoto 2

Kehinde Fadipe (amezaliwa 17 Januari 1983) ni mwigizaji na mwandishi wa Uingereza na Nigeria.[1]

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Kehinde Fadipe alizaliwa katika Hospitali ya t Mary's, London mwaka 1983. Alipata Shahada ya Kwanza ya Heshima (BA Hons) katika Fasihi na Lugha ya Kiingereza kabla ya kuchukua shahada ya pili katika Chuo cha Kifalme cha Sanaa za Maigizo (Royal Academy of Dramatic Art) ambacho alimaliza mwaka 2009.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kehinde Fadipe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.