Kayseri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 06:37, 14 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q48338 (translate me))
Metropolitan ya Wilaya za Kayseri.

Kayseri ni mji uliopo katikati ya nchi ya Uturuki. Mji huu wa Kayseri umezoeleka kuitwa Mazaka au Kaisareia. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Kayseri. Mji unakadiriwa kuwa na lundiko la watu takriban milioni 1. Mji upo mita 1,050 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kayseri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.