Nenda kwa yaliyomo

Kayla McKenna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kayla Jay McKenna (alizaliwa 3 Septemba 1996) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu anayechipukia katika nafasi ya mshambuliaji. Anachezea klabu ya Madrid CFF katika ligi ya Liga F nchini Hispania. Amezaliwa nchini Marekani lakini anaiwakilisha timu ya taifa ya wanawake ya Jamaika.[1]

  1. ↑ "Kayla McKenna is now a Yellow - Web Oficial del Villarreal CF". 18 Julai 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kayla McKenna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.