Katsuaki Watanabe
Mandhari
Katsuaki Watanabe (alizaliwa Februari 13, 1943) ni mshauri mwandamizi wa Toyota Motor Corporation.
Alikuwa Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo kabla ya Akio Toyoda kuchukua nafasi hizo mnamo Juni 23, 2009.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Katsuaki Watanabe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |