Katrina Kaif

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Katrina Kaif

Katrina Kaif
Amezaliwa 16 Julai 1983
Kazi yake mwigizaji wa filamu na mwanamitindo kutoka Uingereza

Katrina Kaif (kəˈʈriːnaː ˈkɛːf, alizaliwa Katrina Turquotte, 16 Julai 1983) ni mwigizaji wa filamu na mwanamitindo kutoka Uingereza.

Ana umaarufu kwa ajili ya kazi yake katika filamu za Kihindi. Alionekana hasa katika filamu za Bollywood kwa lugha kama vile Kitelugu na Kimalayalam.

Mbali na kuwa moja ya waigizaji wenye kulipwa pesa ya juu, wanahabari humtambua kama mmoja ya wanatajika wenye kuvutia sana.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katrina Kaif kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.