Katoro (Bukoba)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa maana nyingine ya jina hili angalia Katoro.


Kata ya Katoro
Nchi Tanzania
Mkoa Kagera
Wilaya Bukoba Vijijini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 16,284

Katoro ni kata ya Wilaya ya Bukoba Vijijini katika Mkoa wa Kagera, Tanzania, yenye postikodi namba 35206 [1].

Kata ya Katoro inahusisha vijiji vinne: Kayanja (Katoro), Ngarama, Ruhoko na Musira. Inapakana na kata za Kaibanja upande wa Mashariki na Kyamulaile upande wa Magharibi.

Mji mdogo wa Katoro upo umbali wa kilometa 64 kutoka Bukoba Mjini na inapitiwa na barabara kuu ya Bukoba-Kanazi-Ibwera-Katoro-Kyaka.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 16,284 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 13,648 waishio humo.[3] Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,076 waishio humo. [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01. 
  2. https://www.nbs.go.tz, uk 171
  3. Sensa ya 2012, Kagera - Bukoba-District-Council
  4. "Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002" (kwa Kiingereza). Serikali ya Tanzania. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-17. 
Kata za Wilaya ya Bukoba Vijijini - Mkoa wa Kagera - Tanzania

Behendangabo | Bujugo | Butelankuzi | Ibwera | Izimbya | Kaagya | Kaibanja | Kanyangereko | Karabagaine | Kasharu | Katerero | Katoma | Katoro | Kemondo | Kibirizi | Kikomelo | Kishanje | Kishogo | Kyaitoke | Kyamulaile | Maruku | Mikoni | Mugajwale | Nyakato | Nyakibimbili | Rubafu | Rubale | Ruhunga | Rukoma

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Katoro (Bukoba) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.