Nenda kwa yaliyomo

Katie Rodan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katie Rodan (Alizaliwa 1955 au 1956) ni daktari wa ngozi, mjasiriamali, na mwandishi bilionea nchini Marekani.[1] Yeye ni mtayarishaji mwenza wa mfumo wa kudhibiti chunusi Proactiv, mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Rodan + Fields ya uuzaji wa bidhaa za utunzaji wa ngozi kwa njia ya ngazi nyingi (multi-level marketing).Anendesha kliniki ya kibinafsi ya matibabu ya urembo huko Oakland, California.[2] Mwaka 2015, aliorodheshwa na Forbes kama mmoja wa wanawake 50 waliofanikiwa kwa kujitegemea nchini Marekani.[3]

  1. ↑ "Forbes profile: Katie Rodan". Forbes. Iliwekwa mnamo 28 Septemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ "Katie Rodan". Bloomberg. Iliwekwa mnamo 2026-04-29.
  3. ↑ "Proactiv creators empower women entrepreneurs". Fox Business News. Juni 3, 2014. Iliwekwa mnamo 21 Aprili 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katie Rodan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.