Nenda kwa yaliyomo

Kathleen Rubins

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kathleen Hallisey Rubins (alizaliwa Oktoba 14, 1978) ni mwanamikrobiolojia nchini Marekani, mkurugenzi wa kwanza wa Trivedi Institute for Space and Global Biomedicine katika Chuo Kikuu cha Pittsburgh, na mwanaanga aliyestaafu wa NASA.[1] Alihudumu kwenye International Space Station kwa misheni kadhaa.[2]

  1. Pearlman, Robert Z. (Aprili 17, 2021). "Soyuz MS-17 crew returns to Earth after 185 days on space station". collectSPACE. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Februari 17, 2026. Iliwekwa mnamo Aprili 17, 2021.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Aiken, Maddie (Januari 30, 2026). "Pitt sets sights high with new institute for space, biomedicine". Pittsburgh Post-Gazette. Pittsburgh, PA. ProQuest 3298346996. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Januari 30, 2026. Iliwekwa mnamo Januari 30, 2026.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kathleen Rubins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.