Nenda kwa yaliyomo

Katharine Isabelle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katharine Isobel Murray (amezaliwa 2 Novemba, 1981), anayejulikana kitaaluma kama Katharine Isabelle, ni mwigizaji wa Kanada. Ameelezewa kama scream queen kutokana na nafasi zake katika filamu mbalimbali za kutisha. Alianza kazi yake ya uigizaji mwaka 1989, akicheza nafasi ndogo katika mfululizo wa televisheni MacGyver (1985 TV series).[1][2]

  1. Reid, Michael D. (6 Novemba 1998). "Behind the Screen: Spooked in Rockland". Life & Arts. Times Colonist. uk. C1. Iliwekwa mnamo 28 Aprili 2019 kutoka Newspapers.com.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Ginger Snaps II : Unleashed (Press release). 11 May 2001. http://www.ginger-snaps.com/unleashed/presskit.htm. Retrieved 28 April 2019.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katharine Isabelle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.