Katerina Cibo
Mandhari

Katerina Cibo (kwa Kiitalia: Caterina Cibo au Cybo; 13 Septemba 1501 - 17 Februari 1557) alikuwa mtawala wa Camerino, Italia, miaka 1527-1535, kati ya kifo cha mumewe na mwanzo wa utawala wa mwanao pekee Julia wa Varano[1][2][3]. Babu yake alikuwa Lorenzo Medici[4], hivyo alikuwa ndugu wa Mapapa wa ukoo huo maarufu. Alitumia uhusiano huo kutetea Wakapuchini wa kwanza dhidi ya dhuluma ya Wafransisko wenzao na kuhakikisha Papa Klementi VII awakubalie uhuru wao wa kisheria.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Robin, Diana (Mei 2007). Publishing Women: Salons, the Presses, and the Counter-Reformation in Sixteenth-Century Italy (kwa Kiingereza). University of Chicago Press. ISBN 978-0-226-72156-9.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Feliciangeli B., Notizie e documenti su la vita di Caterina Cibo-Varano, duchessa di Camerino, Camerino 1891.
- ↑ The Legacy of Birgitta of Sweden: Women, Politics, and Reform in Renaissance Italy (kwa Kiingereza). BRILL. 2023-12-18. ISBN 978-90-04-54004-0.
- ↑ Larsen, Anne R.; Robin, Diana; Levin, Carole (2007-03-01). Encyclopedia of Women in the Renaissance: Italy, France, and England (kwa Kiingereza). Bloomsbury Publishing USA. ISBN 978-1-85109-777-7.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Katerina Cibo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |