Kate McGarrigle
Mandhari
Kate McGarrigle (amezaliwa 6 Februari, 1946 – amefariki 18 Januari, 2010)[1]alikuwa mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa muziki wa folk kutoka Kanada, aliyekuwa akiandika na kuimba kama Kate & Anna McGarrigle|duo pamoja na dada yake Anna McGarrigle. [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kate McGarrigle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |