Nenda kwa yaliyomo

Katarina Kolar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Katarina Kolar

Katarina Kolar (alizaliwa 25 Novemba 1989) ni mchezaji wa soka wa nchini Kroatia na ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya wanawake ya BV Clopenburg kwenye ligi daraja la pili ya Bundesliga na timu ya taifa ya Kroatia.[1]Katarina alichezea klabu ya wanawake ya ŽNK Osijek na Plamen Križevci za nchini Kroatia na timu ya wanawake ya Kärnten katika ligi ya Frauenliga ya nchini Austria .[2]

  1. Szepanski, Steffen. "Topstürmerin wechselt zum Spitzenclub", nwzonline.de, 1 July 2014. Retrieved on 7 November 2014. (German) 
  2. 2009-10 scorers table Archived 14 Julai 2014 at the Wayback Machine. , https://web.archive.org/web/20140714144533/http://www.frauenfussball.at/BL_2009_2010.htm |date=14 July 2014 in frauenfussball.at
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katarina Kolar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.