Nenda kwa yaliyomo

Kassaman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kassaman

Kassaman (Kiarabu: قسما, yaani "Tunaapa") ni wimbo wa taifa wa Aljeria tangu mwaka 1962 baada ya uhuru.

Nota imetungwa na Mohamed Fawzi, na maneno yameandikwa na Moufdi Zakaria.

Qassaman bin-nazilati al-mahiqat
Wa-d-dima'i az-zakiyati at-tahirat
Wa-l-bunudi al-lami'ati al-khafikat
Fi al-jibali ash-shamikhati ash-shahiqat
Nahnu tharna fa hayatun aw mamat
Wa aqadna al-azma an tahya al-Jaza'ir
Fashhadu... fashhadu... fashhadu
Tunaapa kwa dhoruba zenye nguvu
Na kwa damu safi na takatifu
Na kwa bendera zinazopepea
Juu ya milima mirefu na mikubwa
Tumeasi – maisha au kifo
Na tumeamua kuwa Algeria itaishi
Shuhudieni... shuhudieni... shuhudieni

Kiungo cha nje

[hariri | hariri chanzo]