Nenda kwa yaliyomo

Kashef as-Saltaneh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohammad Mirza Qajar Qovanlu (21 Machi 1865 – 20 Aprili 1929), anajulikana zaidi kwa jina lake la heshima kama Kashef as-Saltaneh (کاشف السلطنه), alikuwa mwanasiasa, mwanadiplomasia, na mtetezi wa katiba (constitutionalist) wa Iran, ambaye anajulikana zaidi kwa kuanzisha kilimo cha chai nchini Iran. Pia alihudumu kama meya wa kwanza wa mji wa Tehran.[1][2][3][4]

  1. کاشف‌السلطنه، حاجی محمد میرزا، رساله دستورالعمل زراعت چاپ، چاپ دوم، رشت، مطبعه عروه الوثقی، ۱۳۲۶ ش
  2. حاجی میرزا کاشف السلطنه، ثریا کاظمی (نوه کاشف السطنه)، نشریه سایه ۱۳۷۲ش
  3. کتاب گیلان، اصلاح عربانی، جلد دوم، چاپ ۱۳۶۱ ۴ـ فرهنگ فارسی، ج ۶ چاپ چهارم، انتشارات امیر کبیر، تهران ۱۳۶۰
  4. Foundation, Encyclopaedia Iranica. "KĀŠEF-AL-SALṬANA". iranicaonline.org (kwa American English). Iliwekwa mnamo 12 Novemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kashef as-Saltaneh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.