Nenda kwa yaliyomo

Kassambya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kasambya)


Kata ya Kassambya
Nchi Tanzania
Mkoa Kagera
Wilaya Wilaya ya Misenyi
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 37,028

Kassambya ni kata ya Wilaya ya Missenyi katika Mkoa wa Kagera, Tanzania, yenye postikodi namba 35314 [1].

Iyoundwa na vijiji sita ambavyo ni: Kassambya, Bunazi, Mabuye, Nyabihanga, Gabulanga na Kakindo.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 37,028 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 26,633 waishio humo.[3] Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17,933 waishio humo. [4]

Kata hiyo ina shule za sekondari 2 ambazo ni Shule ya sekondari Bunazi na Shule ya sekondari Gabulanga, pia kila kijiji kina shule ya msingi, hivyo basi shule za msingi ziko sita.

  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.
  2. https://www.nbs.go.tz, uk 177
  3. Sensa ya 2012, Kagera - Missenyi District Council
  4. "Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002" (kwa Kiingereza). Serikali ya Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-17.
Kata za Wilaya ya Missenyi - Mkoa wa Kagera - Tanzania

Bugandika | Bugorora | Buyango | Bwanjai | Gera | Ishozi | Ishunju | Kakunyu | Kanyigo | Kashenye | Kassambya | Kilimilile | Kitobo | Kyaka | Mabale | Minziro | Mushasha | Mutukula | Nsunga | Ruzinga

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kassambya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.