Kars

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:57, 11 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q127063 (translate me))
Maeneo ya Kars

Kars (kutoka Kiarmenia: Ղարս "Ghars" au Կարս "Kars", Kituruki cha Azerbaijani: Qars) ni mji uliopo mjini kaskazini-mashariki ya nchi ya Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Kars. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, idadi ya wakazi imefikia kiasi cha 130,361 wanaoishi mjini hapa.

Marejeo

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:



Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kars kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.