Nenda kwa yaliyomo

Karmen Elena Rendiles

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha halisi ya Mt. Maria Karmen.

Karmen Elena Rendiles (Caracas, 11 Agosti 1903 - Caracas, 9 Mei 1977) alikuwa mtawa wa shirika la Watumishi wa Ekaristi nchini Venezuela ambaye mwaka 1965 alianzisha shirika la Watumishi wa Yesu wa Caracas[1] akawa mkuu wake wa kwanza hadi kifo chake[2].

Papa Fransisko alimtangaza mwenye heri tarehe 16 Juni 2018, halafu Papa Leo XIV alimtangaza mtakatifu tarehe 19 Oktoba 2025 pamoja na raia mwenzake Yosefu Gregori Hernandez, wakiwa wa kwanza kutoka nchi ya Venezuela [3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kufariki kwake.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Venerable Maria del Carmen Rendiles Martinez". Saints SQPN. 16 Aprili 2015. Iliwekwa mnamo 16 Novemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Biografia". Madre Carmen Rendiles. Iliwekwa mnamo 16 Novemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Pope Leo XIV canonizes 7 new saints, including first from Venezuela and Papua New Guinea". Catholic News Agency. 2025-10-19. Iliwekwa mnamo 2025-10-19.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.