Karl Joseph Alter
Mandhari
Karl Joseph Alter (18 Agosti 1885 – 23 Agosti 1977) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Marekani. Alihudumu kama askofu wa Jimbo la Toledo huko Ohio (1931–1950) na kama askofu mkuu wa Jimbo kuu la Cincinnati huko Ohio (1950–1969).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Curtis, Georgina Pell (1961). The American Catholic Who's Who. Juz. la XIV. Grosse Pointe, Michigan: Walter Romig.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |