Nenda kwa yaliyomo

Karl-Josef Rauber

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Karl-Josef Rauber

Karl-Josef Rauber (11 Aprili 193426 Machi 2023) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki wa Ujerumani aliyewahi kuhudumu kama balozi wa Papa kuanzia 1982 hadi alipostaafu mwaka 2009. Aliteuliwa kuwa Kardinali na Papa Fransisko mwaka 2015.[1]

  1. "'The love of Christ impels us' | Bishop-elect Rivituso ready to serve Archdiocese of St. Louis". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Machi 2023. Iliwekwa mnamo 27 Machi 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.