Nenda kwa yaliyomo

Karl-Heinz Rummenigge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karl-Heinz “Kalle” Rummenigge (alizaliwa 25 Septemba 1955) ni mtendaji wa soka na mchezaji wa zamani wa kulipwa kutoka Ujerumani. Anachukuliwa kuwa mmoja wa wachezaji bora wa kizazi chake na mmoja wa wanasoka wakubwa zaidi katika historia ya Ujerumani.[1]

  1. "Pele's list of the greatest" (kwa Kiingereza (Uingereza)). 4 Machi 2004. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Machi 2015. Iliwekwa mnamo 21 Mei 2023.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karl-Heinz Rummenigge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.