Nenda kwa yaliyomo

Kaoutar Krikou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kaoutar Krikou (alizaliwa 2 Machi, 1982) ni Waziri wa Algeria wa Umoja wa Kitaifa, Familia na Masuala ya Wanawake. Aliteuliwa kuwa waziri mnamo 4 Januari, 2020. [1]

Krikou ana Shahada ya Uzamili katika Sheria za Biashara.

  1. Chafai, Mohamed (Januari 2, 2020). "President Tebboune appoints new government members". Algeria Press Service (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Januari 3, 2020. Iliwekwa mnamo Januari 2, 2020.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaoutar Krikou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.