Nenda kwa yaliyomo

Kantilal Jivan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kantilal Jivan Shah (anajulikana pia kama Kanti; 19222010) alikuwa mwanaharakati wa mazingira kutoka Shelisheli.

Alikuwa mtu mwenye vipaji vingi: mwalimu, mpiga picha, msanii na mchongaji, mtaalamu wa kilimo, na mtu aliyependa sana mazingira na historia ya asili. Pia alipenda kupika chakula cha mboga na alikuwa na maarifa mengi aliyewafundisha watu [1][2]

  1. Malbrook, Julia; Bonnelame, Betymie (2016-03-07). "Jivan Shah: A Seychellois legend still missed by the near and far". Seychelles News Agency. Iliwekwa mnamo 2023-01-25.
  2. Publications, Europa (2001). The Environment Encyclopedia and Directory 2001 (kwa Kiingereza). Psychology Press. uk. 538. ISBN 978-1-85743-089-9.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kantilal Jivan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.