Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraina
Mandhari




Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraina (kwa Kiukraina: Українська греко-католицька церква (УГКЦ), Ukrains'ka hreko-katolyts'ka tserkva) ndiyo madhehebu kubwa zaidi kati ya Makanisa Katoliki ya Mashariki (yale yote ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote).
Mwaka 2014 lilikadiriwa kuwa na waamini 4,468,630 katika parokia 3,993 za Ukraina na za nchi nyingine zaidi ya 12 walipohamia Waukraina katika mabara 4, wakiongozwa na maaskofu 39, mapadri wanajimbo 3,008, mapadri watawa 399 na mashemasi 101. Pia lina watawa wengine wanaume 818 na wanawake 1459 mbali ya waseminari 671.
Linafuata liturujia ya Ugiriki.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- "Account of the history of the Unia and its disestablishment in 19th Century Russia" in Russian
- Orientales Omnes Ecclesias, Encyclical on the Reunion of the Ruthenian Church with Rome His Holiness Pope Pius XII, Promulgated on December 23, 1945.
. Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
- Gudziak, Borys A. (2001). Crisis and Reform: The Kyivan Metropolitanate, The Patriarchate of Constantinople, and the Genesis of the Union of Brest. Harvard University Press. Cambridge, MA.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Ukrainian Greek-Catholic Church Official Website Ilihifadhiwa 29 Septemba 2009 kwenye Wayback Machine.
- Kyiv archeparchy Official Website
- St Joseph Ukrainian Catholic Church Ilihifadhiwa 23 Januari 2016 kwenye Wayback Machine.
- St. Elias Ukrainian Catholic Church Ilihifadhiwa 21 Aprili 2011 kwenye Wayback Machine.
- St. John the Baptist Ukrainian Catholic Church Ilihifadhiwa 18 Julai 2013 kwenye Wayback Machine.
- At the Service of Church Unity
- Religious Information Service of Ukraine Ilihifadhiwa 16 Agosti 2020 kwenye Wayback Machine.
- Hati Orientalium Ecclesiarum ya Mtaguso wa pili wa Vatikano
- Hati Orientales omnes Ecclesias ya Papa Pius XII
- [1] Ilihifadhiwa 5 Machi 2012 kwenye Wayback Machine. - Hati ya Papa Yohane Paulo II Orientale Lumen kuhusu Makanisa ya Mashariki
- Codex Canonum Ecclesiarum Orientalium - Mkusanyo wa Sheria za Makanisa ya Mashariki (katika Kilatini pamoja na sehemu sambamba)
- Instruction for Applying the Liturgical Prescriptions of the Code of Canons of the Eastern Churches Ilihifadhiwa 25 Aprili 2009 kwenye Wayback Machine. - Hati ya Idara ya Papa kwa Makanisa ya Mashariki kuhusu liturujia
- Ujuzi wa msingi kuhusu Makanisa hayo Ilihifadhiwa 17 Mei 2011 kwenye Wayback Machine.
- CNEWA Idara ya Papa inayosaidia Makanisa hayo Ilihifadhiwa 9 Machi 2009 kwenye Wayback Machine.
- Sura ya Idara ya Papa kwa Makanisa hayo
- Takwimu za Makanisa hayo Ilihifadhiwa 27 Juni 2007 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraina kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |