Kanda za nchi za Umoja wa Mataifa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kanda za kitakwimu kama zinavyofafanuliwa na UNSD. Antaktiki haionyeshwi.

Kanda za nchi za Umoja wa Mataifa (United Nations geoscheme ) ni mfumo ambamo nchi zilipangwa kwa makundi kikanda kwa madhumuni ya takwimu. Mfumo huu uliundwa na Idara ya Takwimu ya Umoja wa Mataifa (UNSD) [1].

Matumizi[hariri | hariri chanzo]

Watungaji wa mbinu wanabaini kuwa "mgawo wa nchi au maeneo kwa makundi maalum ni kwa urahisi wa takwimu na haimaanishi dhana yoyote kuhusu ushirika wa kisiasa au wa namna nyingine za nchi au maeneo yanayotajwa vile". [1] Mpangilio huu uliundwa kwa uchambuzi wa takwimu. Una kanda kubwa za kijiografia zilizopangwa kulingana na mabara. Katika kila kanda kuna vitengo vya chini vinavyofanywa na nchi.

Takwimu za Umoja wa Mataifa zina pia mipangilio tofauti za nchi kulingana na tabia kama uchumi, idadi ya watu na nyingine.

Antaktiki ilhali ni bara lisilo na wakazi wa kudumu wala nchi haikuingizwa katika kanda yoyote.

Mpangilio wa ofisi ta takwimu UNSD si mpangilio sanifu kwa mikono yote ya Umoja wa Mataifa. Kwa mfano ilhali Georgia na Kupro zinatajwa katika kanda ya Asia ya Magharibi ya mfumo huu, bado UNESCO huzipanga katika Ulaya. [2] [3]

Afrika[hariri | hariri chanzo]

Amerika[hariri | hariri chanzo]

* Amerika ya Kaskazini, Karibi na Amerika ya Kati pamoja huunda bara la kijografia la Amerika Kaskazini . [1]

Asia[hariri | hariri chanzo]

Ulaya[hariri | hariri chanzo]

Australia na Pasifiki (Oceania)[hariri | hariri chanzo]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 UNSD — Methodology. unstats.un.org. Iliwekwa mnamo 2019-06-17.
  2. United Nations Industrial Organisation p. 14
  3. UNESCO, Europe and North America, Retrieved: 10 May 2016