Ukanda wa Aegean

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:28, 17 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q155564 (translate me))
Kanda ya Aegean

Kanda ya Aegean (Kituruki: Ege Bölges) ni moja kati ya kanda 7 za Uturuki ambazo zimetengwa kwa ajili ya kuhesabia sensa ya wakazi. Ipo kwenye upande wa mgharibi mwa nchi, imepakana na Bahari ya Aegean (Ege Denizi) katika upande wa kaskazini, kanda ya Marmara katika kaskazini, kanda ya Mediterranea katika kusini na kusini-magharibi ni kanda ya Anatolia ya Kati mashariki mwake.

Mikoa

Kanda ya Aegean
Milima katika Kanda ya Aegean

Tazama pia

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ukanda wa Aegean kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.