Kampuni ya Nothing

Nothing Technology Limited ni kampuni ya Uingereza inayotengeneza vifaa vya elektroniki kwa watumiaji, yenye makao yake makuu jijini London. Ilianzishwa na Carl Pei, mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Kichina ya simu janja OnePlus.
Muelekeo wa kampuni wakati wa kuanzishwa kwake ilikuwa ni kuunda vifaa vya elektroniki kwa watumiaji husika, uwazi, na muundo wa kipekee, ili kuboresha matumizi ya kila siku ya watumiaji.[1]
Mnamo tarehe 25 Februari 2019, kampuni ilitangaza Teenage Engineering kama mshirika mwanzilishi, ambaye kwa kiasi kikubwa anahusika na mwonekano wa kiubunifu wa chapa hiyo na bidhaa zake.
Miongoni mwa wawekezaji wa kampuni hii ni pamoja na Tony Fadell (aliyekuwa muundaji wa iPod), Casey Neistat (mwanablogu maarufu wa YouTube), GV (zamani Google Ventures), EQT Ventures, na Highland Europe.
Bidhaa ya kwanza ya Nothing, ilikua ni Ear (1), ilizinduliwa tarehe 27 Julai 2021. Mwaka 2024, kampuni hii iliongeza mapato yake ya kila mwaka mara mbili hadi zaidi ya dola milioni 500, na kuvuka dola bilioni 1 katika mauzo ya jumla tangu kuanzishwa kwake.[2] The company also opened a physical retail store in London’s Soho district in December.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Mark Gurman (15 Januari 2025). "Phone Startup Nothing Raises Funding, Crosses $1 Billion in Lifetime Sales". Bloomberg. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Januari 2025. Iliwekwa mnamo 15 Januari 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Nothing phone (1) Coming Summer 2022 (Press release). 23 March 2022. https://www.nothing.tech/blogs/news/nothing-phone-1-coming-summer-2022.
- ↑ Weatherbed, Jess (9 Desemba 2022). "Take a look at Nothing's first permanent physical store".
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |