Kampuni ya Bolt
Mandhari

Bolt ni kampuni ya kimataifa ya usafiri yenye makao yake makuu nchini Estonia, inayotoa huduma za kuagiza usafiri kwa njia ya mtandao, upangishaji wa usafiri kupitia vifaa ya usafiri mbali mbali kama vile gari, pikipiki, bajaji pia usafirishaji wa chakula na bidhaa za dukani kupitia programu ya Bolt Food.[1]
Kampuni hii ina makao makuu yake mjini Tallinn na inafanya kazi zaidi ya miji 600 ndani ya nchi zaaidi ya 50 barani Ulaya, Afrika, Asia ya Magharibi, na Amerika ya Kusini.[2]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Schulze, Elizabeth (Juni 11, 2019). "Uber's European rival Bolt launches in London". CNBC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-06-01.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Titcomb, James (Februari 24, 2018). "Uber rival Taxify plots London comeback". The Daily Telegraph. ISSN 0307-1235. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-09.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kampuni ya Bolt kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |