Kamal Hanna Bathish
Mandhari
Kamal-Hanna Bathish (عربي: كمال حنا بطحيش ;עברית: כמאל-חנא בטחיש; Nazareti, Palestina, 6 Desemba 1931 - 24 Juni 2025) alikuwa askofu Mpalestina wa Kanisa Katoliki ambaye alihudumu kama askofu msaidizi wa Patriarki wa Kilatini wa Yerusalemu kuanzia mwaka 1993 hadi 2007.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bishop Kamal Hanna Bathish [Catholic-Hierarchy]". www.catholic-hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 2025-02-23.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |