Nenda kwa yaliyomo

Kaluki Paul Mutuku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Kaluki Paul Mutuku
Amezaliwa4 Machi 1993
Kazi yakemtaalamu wa hali ya hewa na mazingira


Kaluki Paul Mutuku (alizaliwa 4 Machi 1993) ni mtaalamu wa hali ya hewa na mazingira nchini Kenya, anayefanya kazi kuboresha ushiriki wa vijana katika kufanya maamuzi kuhusu masuala yanayohusiana na hali ya hewa na mazingira. [1] Yeye ndiye mwanzilishi mwenza wa mtandao wa wanaharakati wa mazingira wa Kenya ('KEAN', shirika lisilo la kiserikali ambalo hutoa jukwaa ambalo linawakutanisha wanaharakati wa mazingira.[1]

  1. 1.0 1.1 "Kaluki Paul Mutuku". Global Landscapes Forum Events (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-11-11.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaluki Paul Mutuku kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.