Nenda kwa yaliyomo

Kalapina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kara Pina Katika Pozi

Karama Masoud (maarufu kama Kalapina) ni msanii wa muziki wa hip hop Kinondoni jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Kalapina ni mmoja kati ya waanzilishi wa kundi la muziki wa hip hop Kikosi Cha Mizinga.

Vilevile amejihusisha na masuala ya siasa kati ya miaka 2010-2015. 2010 aligombea ubunge kupitia Chama cha Wananchi na 2015 kupitia ACT-Wazalendo. Pamoja na hayo, hakufanikiwa kushinda na walipanga kwenda mahakamani kupinga matokeo, lakini hapo baadaye hatima haijajulikana. [1]

  1. Kalapina, Mwakalebela kukimbilia mahakamani Gazeti la Mwananchi toleo la Alhamisi, November 5, 2015
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kalapina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.