Kaizari Maximilian I
Mandhari

Maximilian I (22 Machi 1459 – 12 Januari 1519) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1493 hadi kifo chake. Alimfuata baba yake Federiki III, na kufuatiwa na mjukuu wake Karoli V.
![]() |
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Maximilian I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |