Kaizari Numerian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kaisari Numerian)
Sarafu inayomwonyesha Kaizari Numerian

Numerian alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia Desemba 283 hadi kifo chake mwezi wa Novemba 284. Alimfuata Carus.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Numerian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.