Kailash
Mandhari
Kailash ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 6,638 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kailash kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |