Kadiogo
Mandhari
Kadiogo ni mkoa katikati ya Burkina Faso. Mkoa huo una eneo la km² 2,869 na idadi ya wakazi mwaka 2024 ilikuwa 3,623,800[1].
Makao makuu yako mjini Wagadugu.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kadiogo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |