Nenda kwa yaliyomo

Kader Attia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Attia mwaka 2015

Kader Attia (amezaliwa Dugny, Ufaransa, 30 Desemba 1970) ni msanii wa Algeria na Ufaransa.[1][2]

Maisha ya Awali

[hariri | hariri chanzo]

Attia alizaliwa Ufaransa kwa wazazi toka Algeria na alikulia Paris na Algeria.[3][4] Alisomea katika Shule ya Duperré ya Paris, shule ya sanaa za matumizi ya La Massana ya Barcelona na alihitimu kutoka Shule Kuu ya Kitaifa ya Sanaa za Mapambo ya Paris, mnamo mwaka 1998.[5][6][7]

  1. "Kader Attia". 5 Oktoba 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Aprili 2019. Iliwekwa mnamo 25 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Kader Attia". Barjeel Art Foundation (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-08-18.
  3. "Collection Online: Kader Attia". guggenheim.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Aprili 2019. Iliwekwa mnamo 25 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Kader Attia on why we need art to overcome 'the dark times we live in'". Financial Times. 25 Januari 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-25. Iliwekwa mnamo 2019-04-25.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Project Europa: Imagining the (im)possible. Samuel P. Harn Museum of Art, University of Florida. 2010. ISBN 978-0-9762552-9-1.
  6. Mansour Abrous (1 Februari 2011). Algérie : Arts Plastiques: Dictionnaire biographique (1900-2010). Editions L'Harmattan. ku. 74–. ISBN 978-2-296-45164-3.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "people - Sharjah Art Foundation". sharjahart.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-26. Iliwekwa mnamo 2019-04-26.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kader Attia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.