Nenda kwa yaliyomo

Kabo Neale Sechele Morwaeng

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kabo Neale Schele Morwaeng ni mwanasiasa na mwalimu kutoka Botswana. Aliwahi kuwa Waziri katika Ofisi ya Rais (Minister for State President) nchini Botswana, baada ya kuteuliwa katika nafasi hiyo mwaka 2019 na Rais wa wakati huo, Mokgweetsi Masisi. Muhula wake ulianza tarehe 13 Februari 2022 na kumalizika tarehe 1 Novemba 2024.[1][2]

  1. ↑ "Botswana Government Ministries". www.govpage.co.za (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2026-04-11.
  2. ↑ "Republic of Botswana ♦ Embassy in Stockholm, Sweden ♦". www.botswana.se. Iliwekwa mnamo 2026-04-11.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kabo Neale Sechele Morwaeng kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.