Kütahya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 22:20, 9 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 40 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q188894 (translate me))
Mnara wa Saa wa mjini hapa.

Kütahya ni mji uliopo magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mji una wakazi wapatao 213,000 (makisio ya mwaka wa 2007). Upo karibu na mto Porsuk, mita 969 kutoka juu ya usawa wa bahari. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Kütahya, unaokaliwa na watu 684,082 (2007). Mkoa wa Kütahya una eneo kubwa la mitelemko midogomidogo yenye mashamba iliyopo milimani kaskazini na magharibi. Jina la Kiroma la mji huu lilikuwa Cotyaeum, jina lilnatumika kama ndiyo kianzio cha Catholic.[1]

Marejeo

  1. www.newadvent.org/cathen/04422a.htm Catholic Encyclopaedia: Cotiaeum.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kütahya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.